Msaada: Debt/Credit Card NMB/CRDB nk.

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,288
15,238
Wasalaam!

Kuna uzi humu ulikuwa unajadili masuala ya Debt/Card.

Mtoa uzi alikuwa akipenda kujua ni huduma za Benki ipi ni nzuri na nyepesi kwenye masuala ya Kadi za manunuzi bidhaa Online.

Wakuu naomba mnitagi Kwenye huo uzi kwa kuwa mambo mazuri yalikuwa yanajadiliwa mule. Kwani nimeutafuta na kushindwa kuupata. Pengine kuna yeyote aliye kumbuka Ku subscribe.


Shukrani.
 
Back
Top Bottom