Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,104
Huyu Jamaa pamoja na kwamba ana kipaji cha kufurahisha watoto kwa hadithi zake ndefu zisizoisha, lakini huyu Jamaa anapiga FIX sana jamani.
Yaani Jamaa ni muongo kupitiliza. Eti sisimizi alikuwa mkubwa Kama Lori, eti alipepeta mchele Dar pumba zikaangukia Zanzibar, eti zamani chura alikuwa na mabawa.......
Mzee Msisi(Alex), ni vizuri unavyofanya lakini umezidisha fix. Watoto wetu wanatuuliza maswali kila dakika. Punguza ndugu yangu.