Wataalamu Wa saikolojia watanielewa mapema.
Kawaida maisha ya binadamu hususani waafrika, huishi maisha yaliyotawaliwa na unafiki mwingi, Yaani "fake life"
HILI LIPOJE KWA WALEVI?
Hapa namaanisha mtu aliyekunywa pombe kupita kiasi chake!
Kuna watu huwa wanadhani mlevi haelewi anachokifanya!
Leo naomba niwafahamishe rasmi;
"MLEVI HUFANYA JAMBO AKIWA ANATAMBUA KILA KITU, NA HATA POMBE INAPOMUISHA HUKUMBUKA ALICHOKIFANYA JANA YAKE! "
NB; Kinachomfanya mlevi ajidai kasahau, ni ile aibu kwakuwa ile hali ya unafiki humurudia punde baada ya pombe kutoka lakini hukumbuka kila kitu.
Kwahiyo!
Ukimuona mtu anatukana watu ovyo, anatongoza ovyo, anavua nguo, anachekacheka n.k akiwa kalewa, basi tambua kwamba hivyo ndivyo angepaswa kuwa sema akiwa hajalewa huwa ANASONI,
Ile Aibu ndiyo humfanya mtu aishi kinafiki.
Note; ndiyo maana mtu anaweza kumywea pombe mtu ili akamsemee halafu kesho yake anaenda omba msamaha! Jiulizeni why anakuja kuomba msamaha? Jibu mtapata!
USHUHUDA!
Kuna siku Mimi nilikuwa nimelewa usiku, wakati narudi nyumbani nikaamua kukodi bodaboda, nadhani yule bodaboda alivyotambua nimelewa akapanga aniibie nilikuwa na simu ndogo! Nilivyoona ananipeleka chochoroni ile simu nikaichomeka matakoni, nikabaki na elf 2 mfukoni, Boda Boda alivyonifikisha chochoron akaanza kunisachi! Mimi nikawa namwambia hapa siyo nyumbani! Baada ya kugundua sina kitu akanipeleka! Alizani sitamkumbuka, kesho yake nikamtambua!
Kwahiyo hoja yangu! Mlevi mtu mwenye akili zake timamu akiwa kauvua unafiki!
C.C
Chris mauki na wengine watanisaidia