Mkurugenzi wa Hotel ya Break Point, David Machumu amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Kinondoni akituhumiwa kwa mashtaka matatu likiwemo la kushindwa kutoa risiti katika mashine za elektroniki...
Ni hatari kama gazeti la serikali linaweza kuandika uongo. Habari yao ya gazeti la Jumatatu tarehe 8 Mei lina kichwa cha habari "Aliyenusurika bomu afa ajali ya Lucky". Habari hii si ya kweli na...
Wana JF hivi hii mvua kubwa inayonyesha huku South Beach Dar inanyesha Dar nzima?
Mlioko barabarani naomba mtujulishe hali ya barabara maanake mji huu na mvua haviendani.
Ndugu wanabodi mie ni miongoni mwa waathirika wa watumishi ambao vyeti vyao vinatumika zaidi ya sehemu moja.
Jana nilikuwa baraza la mitihani tanzania nilifika saa 12:00 asubuhi nikiamini...
http://www.mwananchi.co.tz/habari/Meneja-Leaders-Club-apandishwa-kizimbani/1597578-3914090-view-printVersion-2vgddw/index.html
Very serious charges, bail was set at 5,000,000/=. Mtuhumiwa...
Napenda kuwapongeza kwa uzalendo wenu wakuahirisha vipindi ili muwe pamoja na familia na watanzania walioondokewa na watoto wao wapendwa, kuna kitu cha kujifunza kutoka kwenu. UTU ni bora kuliko...
Ndugu wana jf, katika zoezi linaloendelea la ukaguzi wa vyeti vya sekondari wapo watumishi ambao waliishia elimu ya msingi,katika fani mbalimbali- ualimu, udaktari, uhasibu, uboharia nk wenye...
Swala la vyeti feki wala wale wafanyakazi wasifukuzwe ni kuwaonea hawa waliowaingiza kazini, kama meneja waajiri walishindwa kusimamia majukumu yao ndio wa kuwafukuza na kufungwa kabisa.
Wiki jana Mamlaka ya hali ya hewa walionya juu ya uwepo wa mvua kubwa katika Ukanda wa pwani. Kama kawaida watu walibeza hii ni kutokana na tabiri zao kwenda kinyume. Sasa awamu hii naona...
Habari zenu wana JF
Kumekuwa na kero kubwa ya watumiaji wa barabara inayopita external kupitia jeshini kuelekea tabata kimanga hapa kati kati kuna kipande hakina rami na barabara haijachongwa na...
Eti demu gharama zake kula na malazi kama Kama "Faru Faustin"!
Kweli wanaume tumefika kuwaona wakina mama kama gharama kweli?! Awe girlfriend, mke au hata hawara, sisi wanaume hatustahili hata...
Katika list ya watumishi wasio na vyeti I mean walioandikiwa incomplete yumo jamaa yangu,ni mwalimu wa shule ya msingi ila ndo hivo alipita njia za shortcut kusoma ualimu hadi akapata...
Serikali wilaya Momba mkoani Songwe yatangaza kuwepo kwa njaa na kuwataka wakulima wasiuze chakula maana hali ni mbaya.
Huyu Mkuu wa wilaya hivi sio mchochezi? Waziri wa chakula alishakataa...
Kama mnavyokumbuka Mtumishi wa Mungu TB Joshua alitua nchini mwishoni mwa mwaka 2015, na kulakiwa kwa bashasha sana. Ni maombi yetu tena kwake atuweke kwenye maombi yake kama Taifa ili tuzidi...
Kama una ndugu au wewe mwenyewe umehitimu chuo na ukafaulu vizuri,uko tayari kufanya kazi mkoa wowote kulingana na taaluma yako/yake,kwa mshahara wa laki 7 kwa mwezi, nakupa hi![emoji12]
Kiburi ndio anguko hasa la mwanadamu
Katika historia.
Waswahili husema "mateso yakizidi neema imekaribia". Kwa hali iliyopo sasa kwa watanzania ni ngumu na mbaya.
Maombi yangu hali hii na...
Watu watano Wa familia moja wilayani Arumeru wamefariki dunia usiku WA kuamkia Leo baada ya nyumba walimokuwemo kufunikwa na udongo pamoja na mti mkubwa uliong'oka toka mlima Lekimana kutokana...
Naomba niseme tu!
Ibada ni jambo jema sana na sina nia ya kupinga, lakini kinachokera watu wengi ni ile kutozingatia mda uliopangwa; Viongozi msitumie udhaifu Wa unyenyekevu Wa waumini kufanya...