mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 957
Inapotokea ajali tumekuwa tukitumiana picha zinazoonesha jinsi watu walivyokufa.
Wenzetu wa Ulaya huwezi kuona hivyo hii ni jinsi ya wao kujitambua. Wazungu wapo makini sana kutuma picha za hivyo ila bongo utaona mtu kapost picha jiti limemtoboa kichwa na ulimi umemtoka, tustaarabike mtu akifa asitiriwe.
Tuzuie upigaji picha za ki hivyo.