Kwa wale wapenzi wa mikanda ya vita wakati huo 90s kati ya hao Makomandoo nani ulikuwa unamkubali sana.Binafsi nilipenda sana kazi za Chuck Norris alikuwa halisi sana kuliko hao wengine, Wewe ulimkubali sana nani.[/IMG]
Chuck norris amenifanya niwe serious mpaka leo! Huyu jamaa kumwona anacheka kwenye picha zake ni adimu sana halafu yeye ana uwezo wa kutumia silaha na karate.
Mbona umemuacha van damme jamani....si kwa mateke yale. Ki ukweli nawapenda wote sichoki kuangalia movies zao... kila mmoja ana ladha yake.
Sema damme ndo saaana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.