Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,120
- 1,510
Habari zenu wana jamvi natumaini mnaendelea vyema na mihangaiko ya wiki,
Leo mnamo muda wa wa saa 12 jioni nikiwa home nikasema wacha nitoke kidogo niende bazizan nikashangae shange,
Nimefika pale nikaona hakuna la ziada nikaamua niondoke ile napanda kwenye pikipiki yangu kuna jamaa wawili tunafahamiana na wao walikuwa wana pikipiki aina ya boxer wakawa wanataka kuondoka wakaniambia oya bonge umedondosha simu yako ile kutupa jicho nikaiona nikaiokota nikaondoka mpaka nyumbani ile kuanza kukagua sms nikakuta sms ya M-PESA mwenye simu tarehe 9/05/ amefanya muamala wa kutoa 70000/= salio likiwa ni sh 291,000/=
Ile kufika muda wa saa 3 usiku jamaa akanipigia simu kwenye laini zake kuwa yupo Runzewe nikamwambia mimi nipo Ushirombo akasema atanipa 30000/= kama shukrani ya kumuokotea simu na kuonyesha uaminifu ,
Heti wakuu 30000/= itatosha kweli au nimwambie aongeze pesa walau 50000/= manake jamaa ana 291,000/= kwenye M-PESA.