Kati ya maombi haya ya Watanzania kwa Chato Master lipi lilitangulia?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,212
OMBI A.

Ewe Chato Master tunakuomba utusaidie bei ya Unga, Sukari na Mchele na vinginevyo ishuke ili Watanzania tumudu hali hii ngumu ya maisha kwani kiukweli tunateseka mno.

OMBI B.

Ewe Chato Master sisi Wawakilishi wako tunakuomba tu utununulie Magari ya kubebea Wagonjwa wetu katika Majimbo yetu matatu ( 3 ) kwani akina Mama wanapata mno shida kujifungua.

Nawasilisha.
 
labda ungeweka na ombi la ujenzi wa daraja.....angekufikiria, vinginevyo utapewa majibu ya shombo ukae chini upumzike
 
Back
Top Bottom