Mkuu wa mkoa wa DSM Vita dhidi ya Madawa ilikuwa Kwa kina Mbowe, Gwajima Na Manji?

Euphransia

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
937
778
Mh.Paulo Makonda Mkuu wa mkoa wa DSM ile kampeni yako ya madawa ya kulevya ilikuwa kwa ajili ya Mh.Mbowe, Askofu Gwajima Na Rais wa Yanga tu?
 
Haikua vita ni kutambulishwa majina watumiaji wasambazaji baada ya kutambuliwa na jamii kazi kwisha.
 
Hana lolote zero brain alitumwa lakini kwa kuwa hana akili kafanya blanda mpaka akataka kuharibu naona mkuu kamwambia stop maana utaniharibia na mimi acha tuipe tume ishughulike wewe unatumia nguvu kupitiliza
 
Hakuna uongo,udhalimu,uovu wowote uatakao anzishwa na ccm dhidi ya upinzani,watu wanaoipinga ccm,utakaofaulu.

Lazima ccm waishie pabaya na kwa aibu kubwa mno.
Mf.bashite kumuandaa bwana wake akae kusubiri
Ubuyu wa kumdhalilisha Gwajima,na alipokataliwa
kuendesha kipindi,akatumia polisi na silaha,kutishia,kuonea watu wa clauds,hili ni moja ya aibu na anguko baya mno,kuwahi kuitokea ccm.

Ndo sababu kulifunika anguko hili la aibu,
Imemgharimu nape,nakuzidi kuuchafua utawala,eti aliyemtishia nape bastola sio askari !
Sasa kama ni jambazi,kwanini hawajibishwi kisheria ?
Si hatima yakutishia
ataua mawaziri ?

Huu ni uongo wa kitoto
na ujinga kiutawala,usio na maelezo.yaani haya tu
Yanatosha kuonyesha haikua Vita dhidi ya madawa,ilikua vita dhidi
ya wapinzani,na yeyote aliye kinyume na magufuli.hili linatosha kabisa hata Ben asinge
hoji PhD ya mtakatifu,
Ila kwa mtanzania yeyote angejiuliza,hivi raisi anaweza kuwa mtu wa kujihusisha na ubashite wa aina hii,na ulio wazi
kiasi hiki ?
 
Ha ha haaa, Ahsante.

Huyo lazima alipiga kelele mambo yawe kimya kimya, sasa hivi anaulizia ha ha ha haaaaa

Makonda oyeee

Anapiga kazi kama kawa

Watu wanaisoma namba

Kiongozi Shupavu
Cocochanel twende coco beach tungapunge upepo tuone kama jiji lipo shwari
 
Back
Top Bottom