Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kinachoendelea SUA ni aibu tupu wanafunzi wanakabwa na vibaka kutoka majengo ya utawala kwenda New hostel juzi mmoja amekatwa kiganja cha mkono ukipita usiku barabara yao hiyo utawaonea huruma...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kulikuwa na tangazo kuwa nafasi zao waliofukuzwa vyeti fake zijazwe na ajira za dharura. Nawaapia watu watakufa sana. Hao wahitimu wa sasa, say maabara, sana sana vyeti wamepata kwa kuiba...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Mtu anakupigia simu au anakutumia text, baada ya salam unamuuliza nani mwenzangu? kwa ustaarabu kabisa. majibu yake sasa ndo utakoma 1. inamaana ume delete namba yangu?:( 2. ina maana umesahau...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari akina ndugu wote, baada ya the man himself kutangaza kung'olewa kwa tairi za pikipiki na magari yote yatakayopita kwenye barabara za mabasi ya mwendokasi na utekelezaji wake na kwamba hiyo...
1 Reactions
1 Replies
809 Views
Hivi kinga ya rais ni hata pale alipofanya makosa ya jinai/civil makusudi kabisa. MFANO....(hypothetical example anyway...): Anaamulu kuwa chinja mwanamke nione mtoto anakaaje tumboni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
1. Msijifanye hamuoni kwamba vishikio vya abiria waliosimama ndani ya basi kila siku. vinaisha bila kufanya replacement ya vingine. 2. Hivi zile tv ndani ya basi zilkwekwa bahati mbaya? 3. Mbona...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Nimekuja Tanga kikazi juzi na pesa yote ya mahitaji na akiba kwa ujumla nimeweka katika M pesa, kufikia usiku kama saa nane mtandao ukakata na kuandika Emergency na hali ikaendelea hivyo hadi jana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu, Najiuliza kwa muda sasa hivi kuna haja ya kutunza kumbukumbu za matukio ya aina zote kati ya mabaya na mazuri? Kwanini mtu unaempenda kwa dhati akitangulia mbele za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau kwema? Katika hali hii bila kujinyuka walau na ka konyagi usingizi hauji. Vyeti ni shida. Kuna ambao kweli walifoji ila bahati nzuri hatujatajwa. Tunaishi matumbo joto. Sasa kila wilaya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimekua naona wengi humu wanajiita masingle mother na sio single parent he kipi ni sahihi? Kati ya hayo maneno? Maana ukisema Single mother maana yake ni mama mmoja na hakuna mama wawili wala...
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Unaweza kuangalia Moja ya hizi link za Video hapa chini za Video. UPDATE: Watu kadhaa wamehudhuria na kutoa salam za rambirambi wakiwemo mkuu wa mkoa wa Manyara, Joel Bendera, kaimu jaji mkuu...
39 Reactions
479 Replies
86K Views
Habari wakuu huko Chunya mkoa wa Mbeya katika shule ya msingi Matwiga inasemekana kuna mwanafunzi wa darasa la sita kafariki baada ya kufungiwa katika kabati, walifungiwa wawili mmoja kafariki...
1 Reactions
48 Replies
8K Views
Nahisi hatujajua thamani ya elimu. Tumezoea kusikia kwenye soka Tanzania ikiitwa “kichwa cha mwendawazimu.” Nahisi kama kwenye Elimu nako hakuna tofauti. Lakini nisiseme sana, labda teleskopu...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
+255222113048,hii namba imenipigia sana nikiwa safarini.Baada ya kutulia kila nikipiga naambiwa namba iko inatumika.Kwa anayeifahamu anijuze.
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Wana Jamvi, Nimekua nikisumbuliwa sana na hili jambo, Mara nyingi huwa naota Jambo na linatokea exactly in the same manner kama kwenye ile ndoto. Jumatatu nimeota ndoto kuna watu wamevamia...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
miaka nenda rudi jina mtera lipo endeo la Iringa. kabla halijajengwa bwawa kulikuwa na kijiji jirani na daraja panaitwa mtera mto ulikuwa unaitwa ruaha.leo hii kijiji kipo upande wa Dodoma wilaya...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Wadau, ukiwa Iringa mjini sehemu gani penye totoz wazuri wa kujiachia nao.
0 Reactions
61 Replies
19K Views
Naomba kuuliza, Je ni busara kumpokea Mh. Jacoub Zuma kipindi hiki ambacho Taifa lake halimtambui kama Raisi wao?
0 Reactions
28 Replies
2K Views
wakuu leo nimeenda kununua unga ambao huuzwa katika kihenge cha serikali Iringa(Maarufu kama,national milling) lakini kitu cha kusikitisha ni kuwa nimefika mapokezi na kupewa taarifa za ghala hilo...
1 Reactions
8 Replies
981 Views
Wazungu si watu wa kufanya nao utafiki ni watu wenye roho mbaya wasio na huruma kabsa ukikataa mashart yao wanakugeuka ni kama kunguni au kipe mpaka lini?? Jamanii hivi sisi hatuwezi kujiendesha...
0 Reactions
6 Replies
939 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…