Amperius kajuna
Member
- Apr 22, 2017
- 26
- 3
Wazungu si watu wa kufanya nao utafiki ni watu wenye roho mbaya wasio na huruma kabsa ukikataa mashart yao wanakugeuka ni kama kunguni au kipe mpaka lini?? Jamanii hivi sisi hatuwezi kujiendesha pasipo kuwa tegemezi kwao?? Haya ona eti wamesitisha msaada walio kuwa wametuhaidi wahindi nao wananyanyasa kisa wapo kwao sie mbona hatuwa bagui,?? Watu wabaya sana nyinyi hamfai hata kidogo jamani emu tujitambue