Kipi ni sahihi: Ni single mom (mother) au Single Parent?

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
4,137
13,824
Nimekua naona wengi humu wanajiita masingle mother na sio single parent he kipi ni sahihi?

Kati ya hayo maneno?

Maana ukisema Single mother maana yake ni mama mmoja na hakuna mama wawili wala Mtoto mwenye mama wawili. Ukisema Single parent maana yake Mzazi mmoja iwe ni baba au mama.

Labda Mimi ndio sijui, naomba kueleweshwa usahihi ni UPI?
 
Back
Top Bottom