bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,981
Unaweza kuangalia Moja ya hizi link za Video hapa chini za Video.
UPDATE:
Watu kadhaa wamehudhuria na kutoa salam za rambirambi wakiwemo mkuu wa mkoa wa Manyara, Joel Bendera, kaimu jaji mkuu wa Tanzania, waziri wa TAMISEMI, George Simbachawene na anaeongea kwa sasa ni waziri wa Fedha, Philip Mpango.
Mpango: Watoto wetu hawa wametuachia mfano mzuri, walikuwa wanakwenda kufanya kazi.
Miili ya watu 35 inaingizwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid na gari la jeshi la Wananchi na vilio vinatawala kwa sasa na wengine wanaanguka. Miili hiyo inashushwa na kuwekwa sahemu iliyotengwa kwa ajili ya kuaga.
Serikali ya Kenya imemtuma Waziri wa Elimu wa nchi hiyo kuja kuiwakilisha katika shughuli ya kuagwa miili ya wanafunzi walimu na dereva.
Anaeongea kwa sasa ni makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu na anawashukuru wote waliohusika mpaka hatua hii.
Amewaasa madereva kuhakikisha wanabeba watu kulingana na uwezo wa gari na kuwa makini wawapo barabarani. Anasema matokeo ya ajali huleta vifo na masiba mikubwa.
Samia: Msiba huu umeleta msiba mkubwa Tanzania. nimalizie kwa kutoa pole kwa wafiwa, mkoa na watanzania wote kwa ujumla.
==========
Tayari Jeshi la Wananchi na Polisi wapo uwanjani wakifanya taratibu za hapa na pale kwa ajili kupokea miili.
Viongozi wa dini zote watakazoendesha ibada tayari wamewasili, Wazazi wa wafiwa pamoja Na idadi ya wananchi wanaingia uwanjani Ni kubwa kweli kweli.
Sahivi Ni wananchi wanaingia uwanjani pamoja Na askari WA kutuliza ghasia, tunasubiri miili Na viongozi WA kitaifa wingie ndo ratiba nyingine ziingie.
Mkuu WA Mkoa Na mkuu WA wilaya ndo wanaingia uwanjani kwa sasa, pamoja Na mkurugenzi WA jiji la Arusha
Waziri wa fedha Na mipango Philip Mpango tayari amekwishaingia
Walimu 30 toka serikali ya mapinduzi Zanzibar nao tayar wamekwishawali pia
Vikosi vyote vya usalama ikiwemo Magereza, jeshi la wananchi Na Polisi wapo wa kutosha Na sawa Ni judge mkuu anaingia uwanjani akiwa anaongozana Na msafara WA makamu WA Raisi
Uwanja umekwisha jaa Na tayari gari ya zimamoto zimeingia Na bado idadi ya wananchi wanaoingia Ni kubwa kweli kweli kweli, red cross nao wamejaa kwa ajili ya lolote litakalotokea hapa uwanjani,
Uwanjani watu wanapiga makofi Na vigelegele baada ya mh.Lowassa kuingia.Na watu kujisahau kuwa wapo msibani
Wakuu samahanini Sana najaribu kutuma Picha za hapa uwanjani lakini naona zinagoma sijajua kwanini, naomba yoyote alie uwanjani anisaidie tafadhali kuweka picha
Mkuu,tayar nimeomba aliepo uwanjani aweke picha hapa tafadhali, Makamu wa Raisi tayari amekwisha ingia pamoja na mh. Kinana Na Waziri wa elimu Mh.Ndalichako tayari wapo uwanjani
Tendo tunalosubiri sasahivi Ni miili kuingia uwanjani, uwanja wote Ni tulivu kabisa
Viongozi waliohudhura Ni pamoja Na katibu mkuu WA CCM Abdurahamani Kinana, Paul Makonda, mh. Lowassa, katibu mkuu Wizra ya Afya, balozi kutoka Kenya nchini Tanzania, Waziri wa elimu toka Kenya, Waziri wetu WA elimu Prof.Ndalichako, Waziri George Simbachawene, Na viongozi wengine wengi
Tayari mh. Kinana Na Mh. Mbowe wamekwishatoa salamu za rambi rambi..
Misaada mbali mbali tayari imefika Na gaharma zote za usafiri, majeneza 35 pamoja sanda mkoa umelipia gharama hizo,
Ngoro ngoro wametoa mil.15, Tanapa wametoa ml.20, Auwasa mi 1, AICC mil. 5 jiji la Arusha ml.5
Na sasa Ni amakamu WA rais anatoa salamu za rambi rambi, Na anawashukuru Sana watalii walikuwa wakipita eneo la ajali Na kukuta ajali hiyo kwa msaada waliutoa kwani watalii hao walikuwa Ni madaktari Na wamekuwa wakishirikiana Na madaktari wetu hadi sasa kwa majeruhi 3waliopo hospitali ma wameahidi kuwapeleka hadi nje ya nchi kwa matibabu pale itakapobidi
Wageni wameondoka eneo.la tukio na Mama Samia kaahidi kuwa ataenda kuzika kwa Wale ambao ni wakazi Wa Arusha na ambao watazika miili Yao hapa.
picha ya wanafunzi walimu na dereva waliopata ajali.
Miili ikiwa uwanjani tayari kwa ibada na safari.