Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,130
- 8,351
1. Msijifanye hamuoni kwamba vishikio vya abiria waliosimama ndani ya basi kila siku. vinaisha bila kufanya replacement ya vingine.
2. Hivi zile tv ndani ya basi zilkwekwa bahati mbaya?
3. Mbona mnajaza sana abiria au mnatukomoa.
4. Nina wasiwasi zile ticket mnazokusanya kwa ambao hawapunch mnaziuza tena.
5. Vituo vingine vinaviti vya kupumzikia abiria vingine havina.
6. Vituo vya kisasa lakini milango inafunguliwa manually.. Hii ni aibu ya mwaka.
7. Vivuko vya abiria vina mzunguko mkubwa lakini havina vikingio vya jua na mvua.. Hamkuona umuhimu wake au mlipuuzia..
8. Mizunguko ya vivuko (Kimara, Ubungo, Morocco n. K) imefungwa taa lakini taa hizo haziwashwi nyakati za usiku mlikua na maana gani kuweka taa ambazo hamziwashi au mnataka mpaka raisi afanye ziara ya usiku ndo muwashe