Kuota jambo linatokea

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,435
4,608
Wana Jamvi, Nimekua nikisumbuliwa sana na hili jambo, Mara nyingi huwa naota Jambo na linatokea exactly in the same manner kama kwenye ile ndoto.

Jumatatu nimeota ndoto kuna watu wamevamia nyumbani kwangu wakavunja Mlango wa gari na kuiba taa za nyuma.

Leo asubuhi naamka nakuta gari imevunjwa vioo na taa za nyuma zimeibiwa.

CC mshana jr
 
Wapo mkuu wanaota mtu fulani kafa na kifo kinatokea kweli.........unaweza kuwa mganga wa kienyeji (jokes)
 
Wana Jamvi, Nimekua nikisumbuliwa sana na hili jambo, Mara nyingi huwa naota Jambo na linatokea exactly in the same manner kama kwenye ile ndoto.

Jumatatu nimeota ndoto kuna watu wamevamia nyumbani kwangu wakavunja Mlango wa gari na kuiba taa za nyuma.

Leo asubuhi naamka nakuta gari imevunjwa vioo na taa za nyuma zimeibiwa.

CC mshana jr
Hizi ni ndoto taarifa au ndoto maono ila kwakuwa ufahamu umezingwa na mengi unashindwa kuamsha ile hisia ya sita hisia ya machale
 
Back
Top Bottom