D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,193
- 3,325
wakuu leo nimeenda kununua unga ambao huuzwa katika kihenge cha serikali Iringa(Maarufu kama,national milling) lakini kitu cha kusikitisha ni kuwa nimefika mapokezi na kupewa taarifa za ghala hilo kuishiwa unga na izingatiwe kuwa ghala hilo ni kimbilio la watu wenye kipato cha chini kwani huuziwa kilo moja ya unga kwa shilingi 1400,tofauti na bei ya mtaani shilingi 2000 kwa kilo.
bado nakumbuka kauli ya serikali kuwa maghala hayawezi kuishiwa
bado nakumbuka kauli ya serikali kuwa maghala hayawezi kuishiwa