ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,649
- 2,130
Habari akina ndugu wote, baada ya the man himself kutangaza kung'olewa kwa tairi za pikipiki na magari yote yatakayopita kwenye barabara za mabasi ya mwendokasi na utekelezaji wake na kwamba hiyo tabia imekoma kabisa, hii inamaanisha wabongo wengi hii lugha ya nguvu ndo pekee tunayoielewa??