Kulikuwa na tangazo kuwa nafasi zao waliofukuzwa vyeti fake zijazwe na ajira za dharura. Nawaapia watu watakufa sana. Hao wahitimu wa sasa, say maabara, sana sana vyeti wamepata kwa kuiba mitihani/kuhongwa mitihani/kununua mitihani na kupasishwa. Watachanganya blood groups and other life saving activities mahospitalini na ndio mauti ya wagonjwa! Hakuna mwenye utaalamu. They need practical on job training! See and do training! Short of that , time will tell!