Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,736
Wadau kwema?
Katika hali hii bila kujinyuka walau na ka konyagi usingizi hauji. Vyeti ni shida. Kuna ambao kweli walifoji ila bahati nzuri hatujatajwa. Tunaishi matumbo joto.
Sasa kila wilaya ninazokatiza huku wilayani natafuta walau Konyagi ndogo nakosa. Yako makubwa tuuuu. Ina maana hizo ndogo zimereplace viroba? Tunahangaika sana jamani na bia hazinywewi. Shilingi elfu tano kwa konyagi walau ka stim unapata kidogo lakini sio bia mbili. Maisha magumu mzee Magu ruhusu pacti za viroba zirudi.......hela ya bia na yale makubwa hatuna. Na jinsi vyeti vilivyotuchanganya bila hicho kitu usingizi hamna. Kama suala ni pacti hata biscuti ziwekwe kwenye chupa wote tudhalilike.