Kijiografia Mtera ipo Iringa

Kijiografia Mtera ipo Iringa

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
559
miaka nenda rudi jina mtera lipo endeo la Iringa.
kabla halijajengwa bwawa kulikuwa na kijiji jirani na daraja panaitwa mtera mto ulikuwa unaitwa ruaha.leo hii kijiji kipo upande wa Dodoma wilaya ya mpwapwa
sasa eti jimbo linaitwa mtera inachosha sana ni bora lingeitwa jimbo la mvumi.
ni bora hilo jimbo libadilishwe jina na kuwa jimbo la mvumi
 
Duh! Nilijua ni Malawi tena....Haya kuanzia leo Mtera itakuwa Iringa na Dodoma wote mtalitumia hilo jina kwa jinsi mnavyojisikia.
 
Acha wasiwasi wote ni watanzania mkuu haya majina yasikutie jaka moyo.
 
Kama wote ni watanzania mbona mikoa inagawanywa tena illogically
Acha wagawanye ili wajipe madaraka, lakini kiuhalisia eneo la Tanzania litabaki lilelile hata wakigawa tuwe na mikoa 50., wanagawa ili waweze kututawala zaidi maana wengi wana janjaruka lazima watafute balance.
 
Back
Top Bottom