Kuna kijana alishikwa na kiu kali akiwa msituni kwa bahati alikua na kikombe, akiwa chini ya mti aliona matone ya maji yakidondoka juu ya mti akaona nafuu imempata,
Akakichukua kikombe na kuanza...
Wiki mbili zilizopita nilipata fursa ya kutembelea nchi jirani kwa mwaliko wa ndugu yangu anayekaa huko katika Province flani, wilaya flani(samahani kwa kutokuweka wazi). Kiujumla hali ya hewa...
Wakuu heshima kwenu
Leo nimejikuta natafakari sana dhamira ya magazeti yanayoitwa ya udaku au kama yanavyojiita eti magazeti pendwa
-kiu
-sani
-ijumaa
-filamu
-uwazi
-risasi.
Kwa ujumla magazeti...
Haya kumekucha wadau Najua usiku ndio muda kujumlisha matukio yote ya mchana,kuna mengi yanatokea usiku hatuyajui mengine tukisimuliwa hapa yanaweza kuwa kituko kwa kwa jamii. Mimi jana kimetokea...
Habari wadau?
Kwa leo naomba tujadili ili tatizo la mimba za utoto, kwa kweli nimekuwa mkoa wa moro, sehemu inaitwa CHITA, MLIMBA NA kata nyingine jamani kama kuna NGO, mnaojiita wapambanaji wa...
Watoto 33, mabasi 3, wakubwa 3 (walimu na dereva 3 wote wanaume) na walio hospital ni wa 3.
Tarehe 6 + mwezi wa 5 + 2017 =3. Tuangalie magazeti na idadi ya marehemu. Majira na habari leo...
Kwa takribani wiki, natumia usafiri wa Treni kutoka DAR kwenda Morogoro, maeneo ya Mlimba, cha kushangaza, kila nikienda kukata tiketi napewa viriristi vya ajabu sanaaa, kibaya zaidi usipo kata...
Mtoto huyu pichani anaitwa Linda Raymond Kombe amepotea nyumbani kwao Kinondoni Mkwajuni tar 6/05/2017 katika mazingira ya kutatanisha,yeyote atakayemuona awasiliane na wazazi wake kwa namba 0714...
Kwanza niseme naandika hili bandiko nikiwa na huzuni sana juu ya kilichowakuta wanafunzi na Wazazi/walimu Arusha na Taifa kwa ujumla.
Mungu aziweke mahali Pema roho za marehemu.
Sasa,
Kwa mujibu...
Wakazi wa Dodoma jana waliingiwa na hofu baada ya kuona ndege ndogo iliyokuwa ikivutwa na trekta kwenye barabara ya magari, huku wengine wakidhani ilipata hitilafu ikiwa angani hivyo kutua...
Nimezaliwa miaka 38 iliyopita katika kijiji cha Ruzinga Zamani ikiitwa kata Buyango
Wakati huo halikuwepo jimbo la nkenge wala wilaya ya Misenyi maeneo haya yalikuwa katika wilaya ya Bukoba...
Japo wanatumia njia za kizamani sana, lakini wapo. Uweni makini na watu unao wasiliana nao has a hapa jamii forums.
Kuwa na makini na ajira fake za jamii forums.
Kuwa makini na application za...
Ni muda mrefu sijaona nyuzi za huyu bwana. Na kuna wakati alikuwa analalama alikamatwa na kuswekwa lupango. Pia alishaanzisha harakati za kuanzisha chama pinzani cha siasa na wengine tulishakaa...
Wakuu kuna hawa waliorudiaga darasa la saba baada ya wao kufeli kwa nafasi yao, na baada ya kurudia wakapewa nafasi za waliacha shule , Hawa nao ni vyeti feeki?? Au elimu ya msingi haiesabiwi?
Niko zangu home nachek star tv namcheki mchungaji anajiita Prophet bilionea john Mkeu nimemkubali sana huyu jamaa coz nimeona ana base kwenye sana kwenye mafundisho ya biblia tofauti na wengine...
Mmiliki wa shule ya Lucky Vincent Arusha na Makamu Mkuu wa shule hiyo, wamefikishwa Mahakamani, wanakabiliwa na makosa matano.
MMILIKI wa shule ya Lucky Vicent iliyopo Kwa Morombo jijini...
Dini ya ukristo sasa inatia aibu kwa kweli maana kuna mambo ya ajabu yanaendelea,ulaya ,USA na koteeeee maana false prophets wamejaa huko kote kama kina Crefo dollar
Ingawa wote wanatumia uchawi...
Ndugu wana jf Kuna mambo mengi ya nmejifunza kupitia msiba Wa wanafunzi arusha:
1. Kweli kifo hakizoeleki, hata mhudumu Wa mochwari, akifiwa na nduguyake ataishia kuangua kilio wakati anapokea...