ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Dini ya ukristo sasa inatia aibu kwa kweli maana kuna mambo ya ajabu yanaendelea,ulaya ,USA na koteeeee maana false prophets wamejaa huko kote kama kina Crefo dollar
Ingawa wote wanatumia uchawi wa KUNDALIN kufanyia miujiza ya uongo ila hawa wa Afrika ni kiboko jamani,majitu yanahubiri neno la Mungu madhabahuni huku yanalindwa na mabaunsa,embu angalia pastor Chris wa Ghana hapa chini then naweka link zinazo mu expose yule mmalawi tapeli aliye based south africa ambaye majuzi kamtabiria kifo lowassa anaitwa Bushiri,jamaa nasikia analo kanisa Arusha,lord have mercy,wajinga wanapigwa sadaka tu.
Hapa chini embu cheki utapeli wa kitooootoo kabisa wa Huyu Bushiri...