Wenye NGO, njooni Morogoro acheni kula pesa za wadau

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,099
8,727
Habari wadau?

Kwa leo naomba tujadili ili tatizo la mimba za utoto, kwa kweli nimekuwa mkoa wa moro, sehemu inaitwa CHITA, MLIMBA NA kata nyingine jamani kama kuna NGO, mnaojiita wapambanaji wa mimba za utoto njooni Morogoro msaidiei kutoa walau elimu.

Maana wengi wenu mmejaaa DSM, Ili hali tatizo kubwa liko huku, yani watoto wanamaliza darasa la saba na kutiwa mimba na wanao watia mimba wanawakimbia yani huku huvuki nyumba tano bila kukutana na mtoto mwenye mimba tuache usanii, kujiweka mijini, tuje mikoani tutoe elimu.
 
jaman, wenye hivyo niNGO, njoo mikoani uku msaidie hata kwa elimu tu.
 
Back
Top Bottom