Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,424
Ni muda mrefu sijaona nyuzi za huyu bwana. Na kuna wakati alikuwa analalama alikamatwa na kuswekwa lupango. Pia alishaanzisha harakati za kuanzisha chama pinzani cha siasa na wengine tulishakaa mkao wa 'kula' kumngoja atakapopita kuomba wajumbe tuambulie chochote katika hali hii ngumu ya sasa.
Lakini cha ajabu sijamsikia kitambo sasa. Nimekuwa na shauku kiasi najiuliza maswali mengi. Je raisi huyu tarajali karudishwa tena lupango? au kakatazwa kukaa nyuma ya kiipadi? na kama kakamatwa je chama hakina watendaji wengine? au kapatwa na nini hasa mtemi huyu pekee aliebakia.