xav bero JF-Expert Member Nov 24, 2016 5,134 7,324 May 13, 2017 #2 First to reply,,,, ha ha ha mbona safi tu hapo,,ila kama mwanamke ana ujauzito wa miez 7-8 anaweza jifungulia hapo hapo
First to reply,,,, ha ha ha mbona safi tu hapo,,ila kama mwanamke ana ujauzito wa miez 7-8 anaweza jifungulia hapo hapo
Nanoli JF-Expert Member Oct 15, 2015 3,735 5,970 May 13, 2017 Thread starter #3 xav bero said: First to reply,,,, ha ha ha mbona safi tu hapo,,ila kama mwanamke ana ujauzito wa miez 7-8 anaweza jifungulia hapo hapo Click to expand... Aisee, kabla hujapanda lazima upate "ushauri nasaha"....teteteteeeh
xav bero said: First to reply,,,, ha ha ha mbona safi tu hapo,,ila kama mwanamke ana ujauzito wa miez 7-8 anaweza jifungulia hapo hapo Click to expand... Aisee, kabla hujapanda lazima upate "ushauri nasaha"....teteteteeeh
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,470 70,590 May 13, 2017 #6 Sehemu nzuri ya utalii kweli hiyo..nimepapenda