No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,774
Haya kumekucha wadau Najua usiku ndio muda kujumlisha matukio yote ya mchana,kuna mengi yanatokea usiku hatuyajui mengine tukisimuliwa hapa yanaweza kuwa kituko kwa kwa jamii. Mimi jana kimetokea kituko hapa kwangu mpaka kimenisukuma kuandika huu uzi hapa....Ilikuwa kama saa 7usiku natoka kwenye sherehe fulani nikashuhudia watu wawili wa jinsia tofauti wanaamka mtaroni wakiwa uchi kama walivyozaliwa! Aisee mitaro ina kazi nyingi...