sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,098
- 8,727
Kwa takribani wiki, natumia usafiri wa Treni kutoka DAR kwenda Morogoro, maeneo ya Mlimba, cha kushangaza, kila nikienda kukata tiketi napewa viriristi vya ajabu sanaaa, kibaya zaidi usipo kata tiketi, ukasema utakatia ndani unakatia ndani ya treni jamaa wanakupiga faini, alafu unalipa faini na nauli stahiki hakuna tiketi, na vitisho kibao.
Nashauri shirika ili litumie tiketi za electronics, vinginevo, hawa sjui manini wanao fanya kazi, wa ndani ya treni watalimaliza shirika ingawa linasua sua ila sasa jamani ebu takukuru ingilieni kati muwakamate hawa watu.