mindpower
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 1,049
- 1,211
Ndugu wana jf Kuna mambo mengi ya nmejifunza kupitia msiba Wa wanafunzi arusha:
1. Kweli kifo hakizoeleki, hata mhudumu Wa mochwari, akifiwa na nduguyake ataishia kuangua kilio wakati anapokea maiti kila siku!
2. Pamoja na falsafa kama kila apumuae ataonja mauti, kifo mipango ya mungu, binadamu bado tumeshndwa kuzoea kifo.
3. Watanzania wanaupendo wa asili, kuguswa, kuumia mmoja wameumia wote
4. Nimejifunza kifo ni kifo ila tofaut mazishi na wanaohudhuria mazishi yako
Mazishi ya first-class ni tofaut na mazishi ya lower class
5.kumbe vifo vya watoto vinagusa zaidi jamii kuliko watu wazima.
6. Kumbe kunautofauti wa hadhi ya medium school na kolomijee schools, hata kwenye majanga kama misiba namna inavyopolewa!
7. Kumbe wanasiasa hata misiba wanatumia kujinufaisha kisiasa! Msiba wanasiasa macho kodo kujitangaza
8.nimegundua watanzania wanahasira Kali kwa watoto wao, nchi nyingine ikitaka vita na Tanzania iguse mabomu kwa watoto wao,
8. Kumbe imani za kishirikina kwenye vifo Tanzania kama vile utamaduni wao, haukosi lazima wahusishe (mkono Wa mtu)
9.msiba umekuwa mkubwa sababu kila mmoja anajiona mzazi, watoto wake!
10. Police (traffic) pamoja na kutapakaa kila kona na matochi yao walishindwa, kuona hata umuhimu Wa wale wanafunzi kufunga vikanda ya usalama!
Je wewe mwana jf umejifunza nn msiba Wa Arusha tupia tupate somo!