Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Most of us believe even today that we have anything called a natural disaster.May be it's time we changed our minds.Science is so advanced today that what we used to believe were natural disasters...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kuna ajari ya train deluxe nimepata ajari eneo la nguruka kigoma ila tunamshukulu mungu hakuna alive tumia sana ni majeruhi Wa kawaida Tu mabehewa matano yamelala chini
0 Reactions
3 Replies
1K Views
HAARP au High Frequency Active Auroral Research Programme si program ya Utafiti ambayo inafahamika na watu wengi.Hata hivyo inaathiri watu wengi.Hii ni programu ya Utafiti ya Jeshi la Marekani...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu zangu WanajamiiForums Nimekuwa katika wimbi la kutenda Dhambi kwa vitendo ata kwa mawazo pia! Lakini Nimejikuta Nafsi inanisuta sana japo najikuta nimetenda. Kwa Mfano Mwenzenu mimi...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuuna jamaa (Jirani) alitupa ndonga kwenye DUSTBIN ile asubuh baada ya mgegedo.. Kaenda kazini huku nyuma mapaka yakapita yakamwaga uchafu wote wa kwenye dustbin . Sasa ndonga zimepulizwa na upepo...
0 Reactions
4 Replies
970 Views
Kumekuwa na Wimbi kubwa la ukagunzi wa magari yanayobeba wanafunzi sehemu tofauti tofauti katika nchi yetu ya Tanzania. Na matunda yameonekana magari mengi yameonekana hayana sifa na kuzuiliwa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani kwa wote mnaosomea India au mliowahi kusomea India ninaomba mtushauri kitu hapa mimi na mdogo wangu. Mdogo wangu amepata skolashipu anatakiwa aende India masomoni huko Mangalore tunaomba...
1 Reactions
77 Replies
7K Views
Ambacho nauliza ni utaratibu uliopo sasa ukoje. Yeye alimaliza form four akapata division 3. Nikampeleka Malaysia akafanya faundation course one year then akajoin bachelor degree for three years...
3 Reactions
50 Replies
5K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu. Nataka kufungua ili kanisa la kufa na kuzikana tu. Na pili kanisa hili litasimia misingi ya amri kuu Upendo na kuto kukata TAMAA katika...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kila nitumiapo internet nalazimika kutumia muda mwingi kufungua kurasa na kupakua data. Hivi tatizo ni simu yangu au tunapigwa changa LA macho na makampuni ya simu. Value for money ipo hapa kweli...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau, Sisi wakazi wa Kigamboni tunashukuru sana NSSF pamoja na Serikali hatimaye kutuletea daraja la Nyerere pale Kigamboni, lakini ki-ukweli hili daraja sasa badala ya kuwa msaada kwetu sasa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za jmosi wana jf, mwaka 2015 nikiwa kwenye harakati za kutafuta ajira hapa na pale nilienda kutoa kopi stationary moja Dar es slaam maeneo ya Tegeta jina kapuni. Nilitoa vyeti form 4 mpk...
6 Reactions
33 Replies
6K Views
Injini ya Meli ya M.V Nansio ilikuwa inagoma kupiga starta (kuwaka) kwa muda wa miezi kadhaa,wamiliki wa Meli walihangaika huku na kule kutafuta mafundi wanaoweza kutatua tatizo wasiweze kuwapata...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Treni ya abiria iliyokuwa ikienda bara imepata ajali mnamo saa 5:25 usiku eneo la stesheni ya Mazimbu Morogoro jana Mei 12, 2017. Mabehewa 7 ya daraja la 3 ndio yaliopata ajali kwa kwa kuegama...
3 Reactions
41 Replies
9K Views
Habari wakuu, Itifaki imezingatiwa. Kwakuwa jukwaa ili nikubwa nikimaanisha na walengwa wapo ningependa kupata majibu ya maswali nayojiuliza kila siku. Ofisini kwetu kuna tinted moja kali sana...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Wanajamvi, naomba kufahamishwa hawa viongozi wanaokimbiza mwenge wanapatikana vipi na wapo kisheria katika katiba? Wakimaliza kukimbiza mwenge huwa wanakwenda wapi? Vigezo vyao ni vipi? Kuna...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za mchana ndugu zanguni! Kuna mambo mengine hata upinge kiasi gani yatabaki palepale hii ni kutokana Na uthibitisho nilioweza kuushuhudia kwa macho yangu mwenyewe jinsi mambo yanavoenda ...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu, napenda tu kufahamu kutoka kwa wadau wa Magazeti vipi baada ya lile katazo la kusoma magazeti Redioni na kwenye TV mauzo ya Magazeti yameongezeka kama ilivyotarajiwa?
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom