Tanzania Cyber Army Unit (TCAU)

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,185
18,513
Japo wanatumia njia za kizamani sana, lakini wapo. Uweni makini na watu unao wasiliana nao has a hapa jamii forums.

Kuwa na makini na ajira fake za jamii forums.

Kuwa makini na application za ajira fake.

Kuwa makini na watoto wazuri, japo hapa sio Facebook Ila watakutumia hadi picha.

........

....
 
Back
Top Bottom