Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,106
Kwanza niseme naandika hili bandiko nikiwa na huzuni sana juu ya kilichowakuta wanafunzi na Wazazi/walimu Arusha na Taifa kwa ujumla.
Mungu aziweke mahali Pema roho za marehemu.
Sasa,
Kwa mujibu wa historia ya majanga ambayo yameikumba hii nchi yetu na haswa kipindi hiki cha awamu ya Tano, niseme siridhishwi na namna ambavyo wahusika wanaitumia michango yetu ya rambirambi.
Ilitokea Bukoba, tukaambiwa zimekwenda kwenye miundombinu. Tukatulia.
Inatokana tena Arusha, tunaambiwa sehemu ya pesa imetumika kusimamia show nzima ya Amri Abeid na usafiri? Waungwana, zile pesa zimepatikana wakati maombolezo yanaendelea, hivi kweli walikuwa hawajapanga bajeti? Na je kama walipanga walipangia pesa za mifukoni mwa watu?
Kuhusu usafiri, nimeona gari kama kumi hivi za Kibo tours najua yule mdau kazitoa bure mbona mtakosa huruma?
Mtupatie namba za wahanga tuwatumie pesa direct.
[HASHTAG]#Mungutuepushiemajangatusipigwetena[/HASHTAG]