Ni kosa la jinai ! Sawa na waliofukuzwa................. Ila watu wawaache wamalizie maisha yao. Sote tuna makosa ya hapa na pale Mungu anatuvumilia!Wakuu kuna hawa waliorudiaga darasa la saba baada ya wao kufeli kwa nafasi yao, na baada ya kurudia wakapewa nafasi za waliacha shule , Hawa nao ni vyeti feeki?? Au elimu ya msingi haiesabiwi?
Ulirudia lakini cheti sio feki. Feki ni kile cha kutengeneza(kufoji)
Hawatupati ng'o... Tuli-switch back to our names tulipofika form twoWakuu kuna hawa waliorudiaga darasa la saba baada ya wao kufeli kwa nafasi yao, na baada ya kurudia wakapewa nafasi za waliacha shule , Hawa nao ni vyeti feeki?? Au elimu ya msingi haiesabiwi?
Hapo naona vyeti ni original na mhusika atakuwa huyohuyo kwa sababu yeye amepitia hatua zote kupata vyeti isipokuwa jina tu ndio sio lake kwa uzoefu niliouona mashuleni kipindi hicho na hata sasa hivi nadhani , wengi walirudia kuanzia darasa la 5,6 au la 7
Kwa hiyo walifanya mtihani wa mwisho wa drs la 7 na mitihani mingine kwa mjibu wa vyeti walivyonavyo
Hapo naona Kuna vichwa vya kuliwa vya kutosha. Ila kumbuka hata huyo tunaedhani alifeli ukweli ni kwamba hakuchagulia japokuwa alifaulu. Tatizo ni kurudi kwa jina tofauti. Lkn kwa Drs la saba Wengi walifaulu Bila kuchaguliwa kutokana na uhaba wa shuleHapo naona vyeti ni original na mhusika atakuwa huyohuyo kwa sababu yeye amepitia hata zote kupata mtihani isipokuwa jina tu ndio sio lake kwa uzoefu niliouona mashuleni kipindi hicho na hata sasa hivi nadhani wengi walirudia kuanzia darasa la 5,6 au la 7
Kwa hiyo walifanya mtihani wa la mwisho wa drs la 7 na mitihani mingine kwa mjibu wa vyeti walivyonavyo
Wale pia walivunja sheria ingawa vyeti vyao sio feki.Wakuu kuna hawa waliorudiaga darasa la saba baada ya wao kufeli kwa nafasi yao, na baada ya kurudia wakapewa nafasi za waliacha shule , Hawa nao ni vyeti feeki?? Au elimu ya msingi haiesabiwi?
Hahahahahahhah...! kweli hilo kaburi aliache tu, aende jingine.Hilo kaburi unalotaka kufukua mkuu utaleta majanga nchi hiii.