Mh! 33 Waliofariki Lucky Vicent ina uhusiano na 33 ya freemasons?

Stream line

JF-Expert Member
Apr 22, 2015
393
239
Watoto 33, mabasi 3, wakubwa 3 (walimu na dereva 3 wote wanaume) na walio hospital ni wa 3.
Tarehe 6 + mwezi wa 5 + 2017 =3. Tuangalie magazeti na idadi ya marehemu. Majira na habari leo inawataja 33. Wengine 32. So, which is which. nchi moja habari moja kwa tofauti hii nani mkweli????
""https://habariswitch.blogspot.com/.../
www.raiamwema.co.tz/hii-ndio-hali-halis...
siku 5 zilizopita ... ... wanafunzi 33 wa shule ya mchepuo wa Kiingereza ya Lucky Vicent iliyopo
eneo la Kwa Mrombo katika Jiji la Arusha. ... hivyo kufanya idadi ya waliofariki katika ajali kufikia watu 36.
Video & Picha ;""
 
Tukana upendavyo ukweli utabaki pale pale. Ukiitazama barabara kutoka ktk historia ya sehemu ya ajali. kama ilivyotolewa na miradi ayo .ni dhahiri barabara ni nzuri mno. Uchungu ni kawaida yetu sisi binadamu. Lakini ni lazima tukitafute chanzo na tukishughulikie. kama ni malaria basi mbu na asakwe. matusi hayana tija.
 
Watoto 33, mabasi 3, wakubwa 3 (walimu na dereva 3 wote wanaume) na walio hospital ni wa 3.
Tarehe 6 + mwezi wa 5 + 2017 =3. Tuangalie magazeti na idadi ya marehemu. Majira na habari leo inawataja 33. Wengine 32. So, which is which. nchi moja habari moja kwa tofauti hii nani mkweli????
""https://habariswitch.blogspot.com/.../
www.raiamwema.co.tz/hii-ndio-hali-halis...
siku 5 zilizopita ... ... wanafunzi 33 wa shule ya mchepuo wa Kiingereza ya Lucky Vicent iliyopo
eneo la Kwa Mrombo katika Jiji la Arusha. ... hivyo kufanya idadi ya waliofariki katika ajali kufikia watu 36.
Video & Picha ;""
Shindwaaaa na ulegeeee!
 
Huu upuuzi kiwango cha lami kila kitu kuwaza imani za kishirikina ndo watanzania hawana maendeleo siku zote sijui mmelogwa na nani ?
 
Huu upuuzi kiwango cha lami kila kitu kuwaza imani za kishirikina ndo watanzania hawana maendeleo siku zote sijui mmelogwa na nani ?

Nilikuwa nakula. Sikilizeni enyi mkimbiliao matusi. Biblia inawapa onyo kwa maneno kama haya, "...mkatukana mambo matakatifu.." Yuda 1: 8-10. Usikimbilie neno shindwa na ulegee. ili hali mmeshindwa tayari. Siku moja watoto walikuwa wakienda mombasa toka dar. mkurugenzi wa shule akasali akiomba watoto wetu wakawe BARAKA huko walikokuwa wakienda. Pale pale nilishtuka na mm nilisema Yahu na aikemee sala hii. wakaenda na wakarudi salama. ila si kiurahisi kwani walinisimulia koswa koswa nyingi za mwanafunzi kufa. Siku ya kurudi niliwahi pale shuleni na kumwomba Yahu aendelee kuwa na wale watoto. Badala ya kufika dar saa 12, walifika saa 3:30. Badala ya kutumia njia nzuri yenye lami na ndefu; Madereva wakaamua kutumia njia fupi na isiyo lami. Yule mkurugenzi aliposikia kuwa wametumia njia hiyo alifoka sana. ikumbukwe nilikuwa pale nikiwa ni mpelelezi wa Yahu. Baada ya wazazi kupokea watoto wao, niliwasha gari na kuamua kupita ile njia ndefu. Nilipofika nusu njia. nilikuta dereva taxi amepata ajali ndogo lakini amefariki na maiti alikuwa bado pale. majirani niliwaacha wakisubiri polisi. So, TUKANA SANA. Mm nimeishawakilisha.
 
Kila mwenye kuingia nyumba ya ibada na akiupinga ushirikina kuwa hauamini. mtu huyo ni kinyume na imani hiyo na ni mwanga.
 
Back
Top Bottom