Huko Tanga, kuna dada (msichana wa kidato cha kwanza) kaaga kwao anaenda kwa rafiki yake wa kike. Ila hajarudi kwao, na haijulikani halipo. Taarifa ilipelekwa polisi na baada ya masaa 24, rafiki...
Salaam
Binadam tumeumbwa na hofu. Kama sio hofu ya Mungu basi hata hofu ya watu wanaokuzunguka ambao mara nyingi ni wadau wako!Unapotaka kufanya tukio huwezi kufanya bila kufikiria mapokeo ya...
» Soko limeteketea Shinyanga huku wakilitizama kwasababu wamekuja eneo la tukio na Gari isiyo na maji.
» Gari imeteketea Muhumbili wakaja kulitazama tu na Gari isiyo na maji
» Wako busy kuuza...
Baada ya star TV kutangaza kurusha LIVE kipindi cha mahojiano na RC MAKONDA Siku ya tarehe 22/5/2017 kinyume na tamko la jukwaa la wahariri chini ya Neville Meena, Sasa vituo vingine vya TV...
Baadhi ya wanafunzi ambao kwenye ripoti ya polisi walijitambulisha kuwa ni wa Shule ya Brothers Fount of Academy Open School (BROFOA) wakiwa wamesimama nje ya basi baada ya kushushwa na Inspekta...
Wadau nimebahatika kutembea miji/makao makuu ya mikoa karibia yote Tanzania ukiacha Zanzibar tu.Katika udadisi wangu nimegundua mji wa Dodoma una masista wengi(Catholic nun)kuliko mji mwengine...
bwana awe nanyi wapendwa katika kristo
leo nitapata mahubili sehemu gan kwa hapa dom nataka nikapate habali njema za wokovu
kwa anae fahamu naomba anijulishe
Hakuna Nyumba ya kulala Wageni leo utaenda na usikute mafuta ya Mgando yamewekwa pale Reception tena huku yakiwa yamefunguliwa kabisa na kuna wakati wakati una check in yule Mhudumu anaweza pia...
Wakuu Habari zenyu!!!
Next week naenda Nairobi kutembea na kidosho wangu,
Kama Kuna sehemu nzuri mnaijua niarifuni, sehemu kama club au casino flan au kama una namba za mshkaji mwenye uzoefu...
Binafsi nina ndugu zangu watatu ambao wameamua kurudi nyumbani baada
ya Maisha ya Dar kuwashinda, sio Jambo la kushangaza lakini tatzo safari hii
imekuwa too much Ukiacha hao kuna watu kadhaa...
Suala la vyombo vya habari Tanzania kuchaguliwa ni habari gani waandike na zipi wasiandike nao wakaitikia kupangiwa huko ni dhahili kuwa havijiamini na ni unafiki.
Mi naamini hasa kwa hili suala...
Habari wanaJF.
Nimetafakari peke yangu bila majibu nikaona ni vyema niulize humu huenda tukatambua ilipo faraja ya kweli ktk awamu hii ya tano kulingana na mfululizo wa matukio nchini tangu awamu...
.Mahojiano maalumu ya MCL Digital na Aliyekuwa mgombea Urasi wa chama cha Chaumma 2015 Hashim Rungwe
====UPDATES
Kuna tatizo kwenye network muda mfupi ujao tutakuletea live mahojiano na Hashim...
Big matches;
Yanga sc Vs Mbao fc
Uwanja Ccm kirumba Mwanza.
Simba Sc Vs Mwadui Fc
Uwanja wa taifa Dar es salaam
.
Msimamo wa Ligi.
UPDATE.;
Kikosi Cha Yanga SC dhidi ya Mbao FC...
Polisi mkoani Mwanza wamewaua watuhumiwa watatu wa ujambazi baada ya majibizano ya risasi kati yao na askari wa jeshi la polisi huku wengine watatu wakikimbia.
Polisi pia wamefanikiwa kukamata...
Aisee niwapongeze sana uwongozi mzima wa kinywaji cha Balami lager , Sijui walikua wpi mda Wote , ila Kila Nikipita Balami ni kati ya Bia zinazonyweka kwa wingi sana kiasi cha wauzaji kukuambia...