GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,285
- 6,722
Binafsi nina ndugu zangu watatu ambao wameamua kurudi nyumbani baada
ya Maisha ya Dar kuwashinda, sio Jambo la kushangaza lakini tatzo safari hii
imekuwa too much Ukiacha hao kuna watu kadhaa ambao waliadimika kwa
miaka mingi nao wanarejea nyumbani mbaya zaidi wengine wamekuwa wakifanya
fujo kugombea mashamba na mali nyingine za urithi ambazo hapo mwanzo
hawakuwa na mpango nazo. Kunani Dar kwanini watu wanalikimbia jiji?