Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii ni hali halisi ya barabara ya mbezi beach B katika kata ya kawe, pembezoni ya shule ya F.K Intetntional. Hii barabara huwa inatengenezwa na wasamaria wema wakazi wa mbezi kila itokeapo mvua tu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau wa JF habari za jioni. Nimetoka Masama Moshi kwenye mazishi ya Mama EvaGrace Emmanuel Lazaro Mwasha mke wa Askofu mstaafu wa kanisa la TAG. lakini ajabu tulivyofika TENGERU basi zima...
3 Reactions
66 Replies
11K Views
  • Closed
Habari zenu wapendwa, Jamani kilichonikuta jana, nilikua naelekea bank ndo kukutana na jamaa kachoka anajidai yeye mchimbaji mdgo mdgo kutoka Tanga anataka kubadilisha iwe Fedha nikamwambia...
10 Reactions
128 Replies
12K Views
Eti ukikanyagwa mguuni na kapuku mwenzio unafoka na kutokwa povu hadi unataka kupigana kisa tu wote hali zenu zinafanana. Ila sasa ikitokea kakukanyaga mwenye pesa au boss wako "utasikia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimeona kuna taarifa zinasambaa huko Instagram kwamba kuna majambazi yalitaka kupora ktk mtaa wa Livingston Kariakoo bahati mzuri polisi wamewahi ktk eneo la tukio. Taarifa zinasema kulikuwa na...
7 Reactions
168 Replies
31K Views
Wakuu nimeona nilete hii taarifa kwanza kupata maoni ya nini kifanyike na pia kuwapa tahadhari wale wanaopaki UDSM -Mlimani campus. Kumezuka uwizi wa kutisha wa vifaa vya magari kwa wale...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Jamani sijui tunakoelekea ni wapi! Leo nilienda bank flani kutuma pesa Uingereza(paundi 1000) kwa mdogo wangu. Sasa jamani nimekutaka na maswali kibao mara eti unaemtumia huko anafanya nini...
29 Reactions
226 Replies
17K Views
Kwa muda wa siku kadhaa sasa Mheshimiwa Lazaro Nyalandu amekuwa akitoa taarifa mbalimbali kuhusu vijana wetu waliojeruhiwa katika ajali huko Arusha. Taarifa hizo zilianza kutolewa kuhusu safari...
0 Reactions
44 Replies
9K Views
Suala la mkoa wa Arusha na wizi na bangi(dawa ya kulevya) ni tatizo kwa mkoa huu. Mimi nimesomea Arusha japo sio mzawa wa mkoa huu, nimekutana na vijana wengi wenye roho za kinyama sijapata kuona...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Wakuu J 5 naenda Nairobi na kimwana wangu ila tunapenda kutembelea sehemu za club na zile za kujiachia hata zile za kimalaya flani mwenye ufahamu wa hayo maeneo anijuze Asanteni
0 Reactions
53 Replies
4K Views
Dada mrembo kutoka Kenya Nairobi Claire Njoki Kibia aliyekuwa akifanya kazi ya ujambazi Kwa kutumika ktk kutega wanaume na wakati mwingine yeye mwenyewe kwenda frontline, ktk kufanya ujambazi...
4 Reactions
61 Replies
12K Views
Na series zingine za ki medical kama gynercoly nitazipateje? ....Naomben msaada machief
1 Reactions
2 Replies
865 Views
Heshima kwenu bandugu, Kama kawa leo mwanaume wa bara niko Dar tangu jana kwa ajili ya kukamilisha process za kuchukua "kausafiri" Ila hali niliyoikuta hapa imenifanya nigundue kitu. Ni kweli...
11 Reactions
42 Replies
6K Views
Gwajima awajibu waliomtabiria kifo Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema hatakufa hadi pale atakapotimiza lile lililomleta duniani. Ameyasema hayo leo wakati wa ibada...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi Wateja wake wa Mikoa wa Tanga na Pemba kwa hitilafu ya umeme iliyotokea usiku wa Mei 08, 2017 Saa 5:13. Hitilafu hiyo inatokana na nguzo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jeshi la Korea Kusini linasema kuwa Korea Kaskazini imefanyia majaribio kombora lingine. Ofisi ya kijeshi nchini Korea Kusini inasema kuwa kombora hilo lilirushwa siku ya Jumapili jioni saa za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana katika vibanda vya Nyakato National TRA walipita wakikusanya kodi ya vibanda kuwa kila kibanda ni Ttshs.375,000. Hawaelezi ni sheria gani inayotumika kukusanya kodi hiyo. Kama ni kodi za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
,, Mwenye wkt mgumu Mama yako, Mzaa Mama yako na Ukoo wako lkn Tanzania yetu ina Neema na inazidi kubarikiwa"- Mchungaji Lusekelo
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari, Nikiwa na majonzi na masikitiko mengi sana ningependa kupata msaada kurejeshewa kiasi hiko cha pesa kutoka mtandao wa simu wa Tigo. Mkasa ulikuwa hivi; Juzi ndugu yangu alikuwa na...
7 Reactions
92 Replies
11K Views
Mna mambo ya kizamani sana na wala hamfiti kwenye Dunia ya leo, unakutana na mtu anakuuliza kwenu wapi unamwambia Morogoro au Mtwara anakuuliza hapo siyo kwenu bali useme walikotoka wazazi wako...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom