GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Hakuna Nyumba ya kulala Wageni leo utaenda na usikute mafuta ya Mgando yamewekwa pale Reception tena huku yakiwa yamefunguliwa kabisa na kuna wakati wakati una check in yule Mhudumu anaweza pia ama akakushauri uchukue japo kidogo au hata kukulazimisha uyabebe ili uingie nayo huko Chumbani mnapoelekea kupumzika na mwenza wako.
Yawezekana kabisa kwamba humu JF mpo ' Wabobezi ' wa kuingia Nyumba za Kulala wageni kwa shughuli zenu mbalimbali za ' Kibaiolojia ' hivyo si vibaya kama mtatusaidia kutuambia ni kwanini katika hizo Nyumba nyingi za kulala Wageni huwa kuna ' Kopo ' Kubwa sana la Mafuta ya Mgando tena yale ' Malaini ' kabisa?
Nawasilisha.