Jeshi la zima moto lichunguzwe: Wako busy kuuza mitungi maofini, moto ukitokea gari hazina maji

Riziki Mohammed

Senior Member
Mar 4, 2017
118
205
» Soko limeteketea Shinyanga huku wakilitizama kwasababu wamekuja eneo la tukio na Gari isiyo na maji.

» Gari imeteketea Muhumbili wakaja kulitazama tu na Gari isiyo na maji

» Wako busy kuuza Fire Extinguishers kwa lazima kwenye maofisi ya watu na kushonesha Unform kila kukicha lakini Moto ukitokea hawaji kwa muda, na wakija basi ni kama wanakuja kuomboleza pamoja na waathirika badala ya kuzima moto.

SIAMINI KAMA BADO WANAENDELEA KULA MISHAHARA WAKATI MOTO HAWAZIMI.
 
Wewe usiongee usichojua unaongea vitu kwa kukurupuka kama tahira, mm sipo fire, ila siku gari inaungua muhimbili waliogoma kuzima ule moto ni gari la kampuni binafsi ya ulinzi kwani walishindana kwenye bei za malipo makampuni binafsi elewa yanazima moto kwa malipo ambayo husainiwa kabla hawajaanza kuzima moto kwa taarifa yako ule moto ulizimwa na gari la zimamoto lenye no inayoanzia na ZT, Pili moto wa Shinyanga unasema uongo pia walifika na maji sema ule moto ulikua Mkubwa gari ikiishiwa maji unategemea wazime kwa mkojo wako? Ule moto mm nlikua nyumbani kusalimia ulizimwa kwa gari la zimamoto wizara ya mambo ya ndani, gari la zimamoto jwtz, gari pia za kampuni binafsi,,,,,,,,,,,sasa kama hawakuzima ulizimika kwa miujiza si ungesambaa maeneo mengine? Pia hata watoa tarifa walichelewa Mda mwingine tusiwalaumu fire ni binadamu kama sisi pia mioto mingine ni mikubwa ni ya kuiendea kwa akili, sawa wewe mkurupukaji
Mbona povu linakutoka Sana kha
 
Hujui Zimamoto ni another TRA in Tanzania. Hii ndio nchi pekee duniani unalipa kodi ya Zimamoto, hata magari unalipa Zimamoto.
 
Wewe usiongee usichojua unaongea vitu kwa kukurupuka kama tahira, mm sipo fire, ila siku gari inaungua muhimbili waliogoma kuzima ule moto ni gari la kampuni binafsi ya ulinzi kwani walishindana kwenye bei za malipo makampuni binafsi elewa yanazima moto kwa malipo ambayo husainiwa kabla hawajaanza kuzima moto kwa taarifa yako ule moto ulizimwa na gari la zimamoto lenye no inayoanzia na ZT, Pili moto wa Shinyanga unasema uongo pia walifika na maji sema ule moto ulikua Mkubwa gari ikiishiwa maji unategemea wazime kwa mkojo wako? Ule moto mm nlikua nyumbani kusalimia ulizimwa kwa gari la zimamoto wizara ya mambo ya ndani, gari la zimamoto jwtz, gari pia za kampuni binafsi,,,,,,,,,,,sasa kama hawakuzima ulizimika kwa miujiza si ungesambaa maeneo mengine? Pia hata watoa tarifa walichelewa Mda mwingine tusiwalaumu fire ni binadamu kama sisi pia mioto mingine ni mikubwa ni ya kuiendea kwa akili, sawa wewe mkurupukaji
Kwanini waende na maji kidogo?
 
Kwa povu hili either wewe ni mfanyakazi wa fire ama una maslahi nao. Hakuna namna ya kujitetea hapo, kwahiyo nyie fire kwenye mafunzo yenu mmejifunza kukabiliana na majanga madogo tu ya moto, makubwa hamuyawezi?
 
Hao majamaa hawajawahi kwenda na muda katika tukio kisingizio chao kikubwa ni kupotea sehemu
 
Wanafanya biashara na watu wa petrol station kila kona Dar ninaye rafiki yangu pale Kibahaa ndo kazi Dar
 
» Soko limeteketea Shinyanga huku wakilitizama kwasababu wamekuja eneo la tukio na Gari isiyo na maji.

» Gari imeteketea Muhumbili wakaja kulitazama tu na Gari isiyo na maji

» Wako busy kuuza Fire Extinguishers kwa lazima kwenye maofisi ya watu na kushonesha Unform kila kukicha lakini Moto ukitokea hawaji kwa muda, na wakija basi ni kama wanakuja kuomboleza pamoja na waathirika badala ya kuzima moto.

SIAMINI KAMA BADO WANAENDELEA KULA MISHAHARA WAKATI MOTO HAWAZIMI.

Miongoni mwa mambo kero kwa wananchi wa Tanzania ni pamoja na hao watu, nakumbuka nilipeleka mtungi kwa ajili ya ukaguzi wakasema unahitaji service, nikawauliza gharma ya service ni kiasi gani, wakasema ni shs 40,000. nikawaambia nakwenda kununua mtungi mpya
 
Back
Top Bottom