Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,609
- 6,823
Huko Tanga, kuna dada (msichana wa kidato cha kwanza) kaaga kwao anaenda kwa rafiki yake wa kike. Ila hajarudi kwao, na haijulikani halipo. Taarifa ilipelekwa polisi na baada ya masaa 24, rafiki wa aliyepotea alifikishwa polisi na 'kupigwa sana' ili aseme kuhusu kutoweka kwa rafiki yake. Ila pamoja na kipigo kile alikana kufahamu alipoenda rafiki yake huyo.
Source: Mwanafunzi atoweka katika mazingira ya kutatanisha
Je, kuna weledi kweli hapa?
Source: Mwanafunzi atoweka katika mazingira ya kutatanisha
Je, kuna weledi kweli hapa?