kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 735
Baadhi ya wanafunzi ambao kwenye ripoti ya polisi walijitambulisha kuwa ni wa Shule ya Brothers Fount of Academy Open School (BROFOA) wakiwa wamesimama nje ya basi baada ya kushushwa na Inspekta wa Polisi, Hassan Makame kwenye mabasi mawili katika makutano ya barabara za Bagamoyo na Sam Nujoma eneo la Mwenge, Dar es Salaam jana baada ya mabasi hayo kuzidisha abiria waliokuwa wakielekea Bagamoyo, Pwani..