Wakuu Habari zenyu!!!
Next week naenda Nairobi kutembea na kidosho wangu,
Kama Kuna sehemu nzuri mnaijua niarifuni, sehemu kama club au casino flan au kama una namba za mshkaji mwenye uzoefu.
Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.