Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Inawezekana na wewe umekuwa ukijiuliza swali hili lililokuwa likinitatiza kila siku kwamba kwa nini vijana wengi wanaoishi mjini huwa hawafanikiwi kama wale wanaotoka vijijini na kuja mjini? Hili...
16 Reactions
23 Replies
5K Views
Nakumbuka Mara tu habari za ajali kusikika Serikali ilitangaza kuwa msiba ule ni wa Kitaifa Na kwamba itaugharamia.Mpaka Leo sijajua Mchango wa Serikali wa Fedha zake ni kiasi gani?Ili kuondoa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Yan jana aibu nimeona mimi. Kuna sehemu moja kuna mzee ana nyumba yake na anaishi hapo na mke wake na wanafamilia wengine. Basi baada ya kuwa naenda hapo dukani kwake nikagundua kuwa ana kijana...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Tunaendelea kusoma number kubwa kubwa, sasa ni zamu ya NSSF, wamefika mahali jengo lao la Mwl Nyerere pension tower halina umeme wa Tanesco na mbaya zaidi hata generator yao wameshindwa kuweka...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Akija shetani ktk umbo la mwanadamu anasema"mimi naponya wagonjwa, maskini wanakuwa Matajiri, Na magonjwa wanayoponya"wanaanza kukutabiria ugonjwa wako uriluka dawa za kichawi mara kazi yako...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Akija shetani ktk umbo la mwanadamu anasema"mimi naponya wagonjwa, maskini wanakuwa Matajiri, Na magonjwa wanayoponya"wanaanza kukutabiria ugonjwa wako uriluka dawa za kichawi mara kazi yako...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari hapa jamvini Leo katika shughuli zangu kila siku mjini nmekutana na hichi kisanga au aibuu naweza kusema mida ya saa 4 asubuhi nimeokota begi ambalo lilikuwa limejaa pesa nyingi...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Usemi wa …. “Mtanzania ukitaka kuficha pesa weka katika kitabu!” Sio wa ajabu. Tumefika hapa tulipo kwa sababu ya uvivu wetu wa kufuatilia mambo yanayoihusu nchi yetu na jamii yetu kwa ujumla...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwenye orodha kamili ya watumishi wa vyuo vikuu wenye vyeti feki, wakiwemo Maprof na Madoctor anisaidie
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Naomba Waziri wa Ardhi ndugu Lukuvi afatilie kwa makini maofisa wake wa ardhi katika manispaa ya Musoma ambao wanawalipisha kodi ya ardhi wananchi kwa kuongeza gharama halafu baada ya mtu kutoa...
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Naibu Waziri Wa Maliasili na Utalii,Eng.Ramo Makani,amefiwa na Mama mkwe wake Jijiji Dar. Mazishi yanafanyika Leo kwenye makaburi ya Kinondoni.
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Naomba mnifahamishe blog ambayo unaweza kupata historia za watu mbalimbali mashuhuri duniani maana napenda kufuatilia historia zaooo please naomba kufahamishwa msaada zaidi naombaaa thanks
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Imekuwa ni hulka ya wanandoa wanaokosa watoto kwenda kwa waganga we kienyeji kusaidiwa kupata 'watoto wa dawa'. Watoto hawa mara nyingi sio riziki ya kutoka kwa Mungu na hivyo huwepo Duniani...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimekuta ajali mbaya ikihusisha magari mawili fuso ikitokea Dar kuelekea Lindi imegongana uso kwa uso na Nissan Serena. Dereva wa Nissan Serena namba T 755 CLX amefariki papo hapo ajali imetokea...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimawazo yangu tu! Laana ni hadhabu,mateso, maangaiko anayopata MTU baada ya kudanya jabo ambalo ni kinyume Na mila, tamaduni Na miiko ya jamii Fulani! Mara nyingi laana hutolewa Na wazazi...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
Jamani leo nimeona maajabu wakati nimepasua yai LA kuku nimelipata na viini viwili, muonekano wa yai lenyewe lilionekana kubwa kuliko kawaida, nimeshindwa kula maana tokea nimezaliwa sijawahi...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Leo May 18 kwenye shule ya Lucky Vicent Arusha, Polisi walivamia mkutano ulioongozwa na Meya wa jiji hilo akiambatana na viongozi wa dini, Madiwani na Waandishi wa habari ambao Meya alidai lengo...
17 Reactions
73 Replies
11K Views
SURA YA TISA MIKUSANYIKO ISIYO HALALI NA GHASIA NA MAKOSA MENGINE DHIDI YA UTULIVU WA UMMA 74.(1) Wakati ambapo watu watatu au zaidi wanakusanyika kwa nia ya kutaka kutenda kosa, au wakiwa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimejiunga na zile sms zinazotumwa kama breaking News na NIPASHE. Issue inayoniboa ni kutumiwa taarifa hiyohiyo mara zaudi ya moja. Najiuliza kuwa ni system error au hawana taarifa za kutuma ndi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za Asubuhi Ndugu na jamaa zangu wa jf.Matumaini yangu wote Ni wazima wa afya,poleni na ugumu wa maisha Katika kipindi kigumu cha JPM.Lakini kwa upande wangu naiona Tanzania mpya inakuja...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Back
Top Bottom