kilambalambila
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 9,848
- 10,118
Suala la vyombo vya habari Tanzania kuchaguliwa ni habari gani waandike na zipi wasiandike nao wakaitikia kupangiwa huko ni dhahili kuwa havijiamini na ni unafiki.
Mi naamini hasa kwa hili suala la RC Dar es salaam kuna media nyingi kama si zote nchini zinataman kuandika taarifa zake maana jamaa yule ana mambo adimu ambayo chombo chako kikiyaripoti unauza kweli iwe ni gazeti, redio, blog au tv.
Cha kushangaza wanataman kuandika ila wameshonwa nyuzi na huyu anayeitwa TEF, hapa wanaumia kimoyomoyo. Kuna vingine vimekuwa vikijistukia visharusha habari zake pamoja na kuwepo hiyo ban (sijui ni kwa bahati mbaya au makusudi).
Ushauri wangu vyombo vya habari acheni kuburuzwa. Nyie mnafanya biashara na ni haki yenu kupata habari inayouza. Habari za RC dar watu wengi wanazitaman kuanzia wa dar es salaam hadi wa mikoani. Acheni kufungwa kamba zinazowapotezea fursa za biashara.