Ni lini polisi mtaacha kuuwa kwa kusadikiwa

Faru fausta

JF-Expert Member
Apr 29, 2017
218
143
Polisi mkoani Mwanza wamewaua watuhumiwa watatu wa ujambazi baada ya majibizano ya risasi kati yao na askari wa jeshi la polisi huku wengine watatu wakikimbia.

Polisi pia wamefanikiwa kukamata bunduki aina ya ‘shotgun’ na magazine mbili zikiwa na risasi mbili na maganda mawili.

Kaimu kamishna wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amewataja waliouwawa leo (Ijumaa) kuwa ni Benedict Tobias, Mabula Segeja na Charles Thomas huku wenzao watatu wakikimbia.

“Askari walipowabaini majimbazi hao katika eneo ambalo walipanga kukutana waliawataka kujisalimisha lakini majambazi hao walikaidi na kuanza kurusha risasi ambayo ili mjeruhi mwenzao ndipo askari nao wakaanza kujibu ,”amesema Msangi.

Amesema miili ya watuhumiwa hao wa ujambazi imehifadhiwa katika hospitali ya rufaa Bugando kwa ajili ya uchunguzi na utambuzi.

Kamanda huyo amesema msako wa kuwatafuta waliokimbia bado unaendelea.
 
Hii tunaita mbwa kala mbwa yan kama kalambwanda full mauaji
 
Sasa ulitaka iweje.labda.wangekuwa.majambazi hawana siraha hapo sawa.sasa jambazi anarusha srisasi mlitaka polisi watulie tuu.

Kwanza raisi alisha wapa ruhusa.yakuwakamata chap chap
 
Polisi mkoani Mwanza wamewaua watuhumiwa watatu wa ujambazi baada ya majibizano ya risasi kati yao na askari wa jeshi la polisi huku wengine watatu wakikimbia.

Polisi pia wamefanikiwa kukamata bunduki aina ya ‘shotgun’ na magazine mbili zikiwa na risasi mbili na maganda mawili.

Kaimu kamishna wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amewataja waliouwawa leo (Ijumaa) kuwa ni Benedict Tobias, Mabula Segeja na Charles Thomas huku wenzao watatu wakikimbia.

“Askari walipowabaini majimbazi hao katika eneo ambalo walipanga kukutana waliawataka kujisalimisha lakini majambazi hao walikaidi na kuanza kurusha risasi ambayo ili mjeruhi mwenzao ndipo askari nao wakaanza kujibu ,”amesema Msangi.

Amesema miili ya watuhumiwa hao wa ujambazi imehifadhiwa katika hospitali ya rufaa Bugando kwa ajili ya uchunguzi na utambuzi.

Kamanda huyo amesema msako wa kuwatafuta waliokimbia bado unaendelea

.
Wewe kwa sababu unasikia ujambazi kwenye TV ndio sababu unaleta post za kishabiki
Siku wanakuingilia nyumbani kwako utakuwa umepata majibu ya Hilo swali lako
 
Amesema miili ya watuhumiwa hao wa ujambazi imehifadhiwa katika hospitali ya rufaa Bugando kwa ajili ya uchunguzi na utambuzi.

Si wametambuliwa tayari kuwa ni Benedict Tobias, Mabula Segeja na Charles Thomas huku wenzao watatu wakikimbia.
 
Watu wanajibizana kwa risasi na polisi,wanauwawa wanakutwa na silaha bado mjinga kama wewe unaleta maada kama hii ya kulaumu polisi,ulitaka polisi waende wakayaulize kwanza,kama ni majambazi ndo wayaue
 
Kama ww ndio polisi ungetumia njia gani hapo na jamaa walishaanza kurusha risasi
 
Polisi mkoani Mwanza wamewaua watuhumiwa watatu wa ujambazi baada ya majibizano ya risasi kati yao na askari wa jeshi la polisi huku wengine watatu wakikimbia.

Polisi pia wamefanikiwa kukamata bunduki aina ya ‘shotgun’ na magazine mbili zikiwa na risasi mbili na maganda mawili.

Kaimu kamishna wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amewataja waliouwawa leo (Ijumaa) kuwa ni Benedict Tobias, Mabula Segeja na Charles Thomas huku wenzao watatu wakikimbia.

“Askari walipowabaini majimbazi hao katika eneo ambalo walipanga kukutana waliawataka kujisalimisha lakini majambazi hao walikaidi na kuanza kurusha risasi ambayo ili mjeruhi mwenzao ndipo askari nao wakaanza kujibu ,”amesema Msangi.

Amesema miili ya watuhumiwa hao wa ujambazi imehifadhiwa katika hospitali ya rufaa Bugando kwa ajili ya uchunguzi na utambuzi.

Kamanda huyo amesema msako wa kuwatafuta waliokimbia bado unaendelea.
SIKU WATAKAPOKUWA WAGENI WAKO NA WAKABAKA MRS FARU FAUSTA NA BINTI FARU FAUSTA NDIPO UTAJUA MAANA YA KAZI KUPAMBANA NA MAJAMBAZI....
 
Hapo umewalaumu police bila makosa....Kama jamaa ndio walioanza kurusha Risasi ulitaka Polisi wakimbie?!
 
Back
Top Bottom