Update;Mechi za Leo kuitimisha ligi kuu Tanzania bara (Vpl).

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,941
24,816
Big matches;

Yanga sc Vs Mbao fc
Uwanja Ccm kirumba Mwanza.

Simba Sc Vs Mwadui Fc
Uwanja wa taifa Dar es salaam

823517acb1a5fa9b5a3e35513087deef.jpg




f19e599ac2554f67703df5ed243f7f22.jpg

de19dbc04569796a82b26f9645767129.jpg


9c0f77297d2d1414c34cb0922c1d15dd.jpg
.

Msimamo wa Ligi.
208fe2f9278d3cd60cd63ed16ca27f81.jpg


UPDATE.;

Kikosi Cha Yanga SC dhidi ya Mbao FC.

GK-Beno Kakolanya-24
2-Juma Abdul-12
3-Oscar Joshua-3
4-Nadir Haroub-23
5-Vincent Bossou-9
6-Thabani Kamusoko-13
7-Saimon Msuva-23
8-Justine Zulu-14
9-Obrey Chirwa-7
10-Haruna Niyonzima-8
11-Geoffrey Mwashiuya-19

SUBS

GK-Geogratius Munishi-30
2-Hassan Hamis-25
3-Pato Ngonyani-15
4-Deus Kaseke-4
5-Matheo Anthony-10
6-Emmanuel Martin-18

BENCHI LA UFUNDI

Kocha: George Lwandamina
Kocha msaidizi: Juma Mwambusi
089431608d4a749f1196be0735cc72e4.jpg


Kikosi cha Mbao Fc
ceffb54cd786412a77c8935ada62afcc.jpg


Kikosi cha Simba Sc:
4468117f2ad300311e69e6bc356ce889.jpg
 
" Nipo fiti kwa ajili ya mchezo wa leo, ni mchezo tunaotaraji kupata upinzani wa kutosha ikizingatiwa wapo katika hatari ya kushuka daraja . . Tutapambana kusaka ushindi ili kujihakikishia ubingwa, pia nikipata nafasi basi ntaitumia kuifungia timu yangu na kunifanya niongeze idadi ya magoli, mashabiki waje kutushangilia!huu ubingwa ni maalumu hasa kwa rais wetu Manji"

- Saimon Msuva.
eca20e5d5048626acf9bfaabeb2e8df8.jpg
 
Back
Top Bottom