Zero IQ JF-Expert Member Dec 21, 2016 13,941 24,816 May 20, 2017 #1 Wangapi humu walisoma kitabu hiki? tutajie hapa shule uliyosoma na mwalimu wako mmoja kama unamkumbuka
Wangapi humu walisoma kitabu hiki? tutajie hapa shule uliyosoma na mwalimu wako mmoja kama unamkumbuka
pecial JF-Expert Member Apr 4, 2017 734 555 May 20, 2017 #2 nikikwambia nimekisoma itakusaidia nini? Kweli you're a zero IQ
S SG8 JF-Expert Member Dec 12, 2009 3,955 2,131 May 20, 2017 #3 dah umenikumbusha mbali sana. Darasa la 3 hiyo mwaka 1993