Mahojiano maalumu ya MCL na Aliyekuwa mgombea Urasi wa chama cha Chaumma 2015 Hashim Rungwe

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,278
.Mahojiano maalumu ya MCL Digital na Aliyekuwa mgombea Urasi wa chama cha Chaumma 2015 Hashim Rungwe
====UPDATES
Kuna tatizo kwenye network muda mfupi ujao tutakuletea live mahojiano na Hashim Rungwe

Viongozi wetu wao wamekuwa hawataki ushauri wa namna yoyote ile - Hashim Rungwe
Tanzania bado ni nchi masikini na umasikini huu unaletwa na mipango mibovu ya viongozi wetu - Hashim Rugwe
Watanzania hawawezi kuishi barabarani na uraiani kama wapo jela - Hashim Rungwe
 
'Watanzania hawawezi kuishi barabarani na uraiani kama wapo jela - Hashim Rungwe
 
Back
Top Bottom