WARAKA YA WAZI KWA UONGOZI WA SAHARA MEDIA GROUP
KUHUSU KIPINDI CHA TUONGEE ASUBUHI KINACHOTARAJIA KURUSHWA JUMATATU YA TAREHE 22/5/2017
Anaandika William Bundala
(Kijukuu Cha Bibi K)...
Nimesoma na kuangalia kutoka kwenye magazeti na luninga kuwa Bajeti ya Wizara ya Kilimo ni Tshs.265bn. Nimesikitishwa sana na fedha iliyotolewa ni KIDOGO, KIDOGO SANA. Kiimo ndicho uti wa mgongo...
Kwenu wanajamvi,
Rejea mada tajwa hapo juu.
Leo katika kufuatilia maneno ya Mungu kupitia watumishi wa Mungu mbalimbali, nimekutana na Mtumishi wa Mungu ambaye huwa ninamkubali na katika...
Kampuni ya kizalendo iitwayo Utalii entertainment inakuwa kampuni ya kwanza hapa nchini kutengeneza filamu zenye maudhui ya utalii tu( mtaani zinafahamika kama filamu za wanyama) .
Inatalajia...
Habar ya hasubuh ndgu wana jamvi?
Ndgi zangu wanajamvi,nchi yetu umefika iliko kwa kila mmoja wetu kutimiza wajibu wake aidha vyema au vibaya ilimradi katimiza wajibu!
Kiuchumi nchi yetu imefika...
Watakaoniita @ mimi sio mzalendo poa tu, lakini ukweli ni kuwa Tv za Tz hazina burudani. Zinajaza stress tu.
Kuna mida nakaa naangalia hata bunge la kenya na kulifatilia kwa makini kabisa kuzidi...
CHUKUA HII
Jamaa wamevamia benki kuiba, mkubwa wao akawaambia wateja wote na wafanyakazi ndani ya benki: Laleni chini na kila mtu atulie jinsi alivyo. Hela ni mali ya serikali, uhai ni mali ya...
Tanapa wamekuwa mabigwa wa matamko,watanzania wafanyeni utalii wa ndani au kuwachukua watangazaji wa vipindi kuwapeleka mbugani wao halafu wakirudi nao wanaendeleza matamko watanzania fanyeni...
Akija shetani ktk umbo la mwanadamu anasema"mimi naponya wagonjwa, maskini wanakuwa Matajiri, Na magonjwa wanayoponya"wanaanza kukutabiria ugonjwa wako uriluka dawa za kichawi mara kazi yako...
In defense of Lake Malawi: No need for negotiations! Lake Malawi belongs to Malawi in its entirety
[http://www]Lake Malawi
The rules of 1971 by U.N., cannot be the benchmark to be the tool of...
Kwa muda wa mwezi sasa fikra za Wakenya wengi na wanayoyapigania ni kama haya yafuatayo:
Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
Gharama ya...
Walioshiriki mapenzi ya jinsia moja kuchapwa viboko 85 Indonesia
Wawili hao wenye umri wa miaka 20 na 23 walipatikana wakifanya mapenzi kitandani mwezi Machi.
Mahakama ya Sharia katika mkoa...
Mtandao maarufu INSTAGRAM ambao Umetajwa kwa ndio wenye madhara hasi makubwa kwa akili za vijana kuliko zote duniani...
Pamoja na Madhara mengi, pia kuna kile kinachoitwa "FOMO yaani Fear Of...
Haya ndiyo aliyosema CEO wa CRDB Bw. Kimei kwamba "KIMEI- Nunueni hisa za CRDB, na sio mashamba au nyumba mpate faida"!
Je CRDB nayo iko mbioni kufia huko? Kulilia watu kununua hisa je yamaanisha...
Habari wadau,
Mimi ni mshabiki mkubwa wa pranks za Just for Laugh Gags.
Wale wenzangu na mimi tujumuike hapa tucheke pamoja, tupunguze stress tuongeze siku za kuishi.
Habari wanaJF,
Halmashauri ya wilaya ya Kishapu imelazimika kuwafukuza kazi watumishi wake sita kwa makosa ya uzembe na utoro kazini wakiwemo madereva watatu waliokuwa wameajiriwa kwa muda baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.