Balimi Lager yaendelea kufanya mauzo ya kufuru DSM

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,062
Reaction score
3,280
Aisee niwapongeze sana uwongozi mzima wa kinywaji cha Balami lager , Sijui walikua wpi mda Wote , ila Kila Nikipita Balami ni kati ya Bia zinazonyweka kwa wingi sana kiasi cha wauzaji kukuambia Hawajawahi uza Bia kwa speed kama Ilivyo Balami..
Sijawahi ijua Ladha yake , ila najiuliza Imependwa kutokana na Ubora ? Bei ? Ama changamoto ya kukosa Mbadala kwa wanywaji Baada ya Pombe za makaratsi kufungiwa .

Maajabu ya Bia hii inauzwa kwnye Bar zote hadi baadhi ya Hotel Kubwa , Nna uhakika Huwezi Kosa Balami Serena.

Hongereni sana Balimi kwa Mauzo Makubaa, Hongera TRA kwa kupata Kodi .
 
Mkuu wanywa Balimi Lager ndo walikuwa wanywa Viroba maarufu.
 
Balimi ni bia nzuri nishaionja!licha mimi ni mdau mkubwa wa safari lager....
Kikubwa tu watu wengi wamehamia kwenye balimi kwa sababu ya bei yake kuwa nafuu pia.

Ova
 
Safari zile Ndogo nadhani pia ni 15000/= wht abouy Plesner lager . Je Vip Safari za Kopo nadhani ni 2000/=
Ipo kitu ndani ya Balami
 
Safari ndogo nazo ziliokoa jahazi ....pia

Ova
 
bagamoyo chupa kubwa tsh 1600,hapo nadhani ndo sababu,hali ngumu kununua bia 2500,lazima ziwe zinaenda fasta
 
Safari zile Ndogo nadhani pia ni 15000/= wht abouy Plesner lager . Je Vip Safari za Kopo nadhani ni 2000/=
Ipo kitu ndani ya Balami
15000/= kwa kreti au bia moja?
Ni kwa malipo ya fedha halali za Tanzania?
 
Balimi mkombozi kwa kweli, nasikia amani ya mwili fundo lishukapo kooni.Viva Tbl viva wenye maono.
 
Back
Top Bottom