Idadi ya kesi na vitendo vya udhalilishaji hapa visiwani kwetu vinazidi kuongexeka inatia aibu nakutisha MZEE wa miaks 56 kumbaka binti wa miaka 6 yaani Ni hatarii
Wakuu humu huwa haliaribiki jambo
Naomba tufahamishane,kuna uhusiano gani kati ya mtu kuvaa nguo nyekundu wakati wa mvua na kuogopa kupigwa radi??
Toka enzi za utotoni shuleni,unakuta watu...
Ilikuwa ni mwendo wa chai viandazi na vigodoro mtindo mmoja... Yaani hata hapa naandika nimetoka kugonga biriani la kuku kuna maalimu mmoja kuchukua jiko la pili leo.
Ninaposema ndoa kumi na...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI –PRESS RELEASE
KUSIMAMISHWA HUDUMA YA TRENI ZA ABIRIA KWENDA BARA KUANZIA LEO MEI 18, 2017
Uongozi Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) umetangaza kusimamishwa huduma ya...
Mkoa unaoongoza ni Dsm sijui walimuiga Bashite? Sasa imekula kwao na jamaa anapeta mtaan tu, karibuni muwe mchepuko sasa maana hakna namna mkuu ndo kawakatza tena ulaji wenu, hongera sana JPM...
Ama hakika huyu Mtangazaji ( Mwanadada ) Mnyange / Mrembo kabisa kwa sasa nchini Tanzania kama siyo hata Afrika ya Mashariki aitwae Bahati Alex wa Radio One na ITV sidhani kama kwa jinsi alivyo '...
Habari wanaJF.
Nimetafakari peke yangu bila majibu nikaona ni vyema niulize humu huenda tukatambua ilipo faraja ya kweli ktk awamu hii ya tano kulingana na mfululizo wa matukio nchini tangu awamu...
Naomba Mods Msichanganye uzi huu na wowote ule kuisadia BASATA na WASANII.
Wasalaam ndugu wana Jamii Forum nashukuru sana uwepo wa jarida hili la kupashana habari ambazo hata kwingineko...
Ni jambo la aibu Sana Kwa barabara inayoelekea kwenye makao makuu ya wilaya na manispaa ya Ilemela Buswelu Kuwa mbaya kiasi hiki
Hasa hapa maeneo ya shule ya msingi Gedeli yani ni mashimo tupu...
Wadau najua Kwa kuwa wengi humu ni wafuatiliaji Wa mambo mnaweza kusaidia hatma ya wenye incomplete vyeti...
Kiuhalisia baadhi ya orodha ya uhakiki serikali iligundua makundi matatu makuu kV
1...
kwako kaka hii ikupate popote ulipo uwe ndan ya nchi au nje ya nchi
mimi naitwa mayala boy ni msanii ambaye sasa nimeiva ninaitaji kusikika na watu waweze kupata radha na ujumbe tofauti wa nguvu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Inspekta Jenerali Saidi Mwema kuomboleza kifo cha askari...
Kwanza naomba nikiri kwamba mimi ni suriama niliyechanganya damu ya Kinyamwezi.
Kule Unyamwezini ni Ujombani kwangu kwani Babu wa Babu yangu mzaa mama ni Manamba wa Kinyamwezi Mkata Mkonge...
Nawapongeza tanesco kwa kuwa na simu za huduma kwa wateja ambazo zinapatikana na kuweza kukusaidia. Sio km makampuni ya simu lkn simu zao hazipatikani.
Jana nilikua na tatizo la luku usiku...
Kama umesoma mpaka chuo na sio mbishi utakubaliana na maneno yangu kwamba wanaume/wavulana wengi tuko shallow english tofauti na wanawake, hili nimeliona tulivyokuwa secondary kupitia debates, pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.